Open
Fundi Mabomba wa Mradi
Job Description
Tunatafuta fundi mabomba kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa nyumba za kisasa. Kazi inahusisha ufungaji wa mifumo yote ya maji safi na maji machafu.
Requirements
Uzoefu wa miaka 5, ujuzi wa kusoma michoro ya maji, uwezo wa kufanya kazi katika timu