Fursa za Kazi
Vinjari fursa za kazi zinazopatikana kutoka kwa washirika wetu.
Fundi Umeme wa Nyumba
WaziTunatafuta fundi umeme mwenye uzoefu wa kufanya kazi za ufungaji wa nyaya za umeme katika nyumba za makazi. Mtaalamu ana...
Tazama MaelezoFundi Mabomba wa Mradi
WaziTunatafuta fundi mabomba kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa nyumba za kisasa. Kazi inahusisha ufungaji wa mifumo yote ya ma...
Tazama MaelezoSeremala wa Samani
WaziTunatafuta seremala mwenye ujuzi wa kutengeneza samani za nyumbani na ofisini. Anapaswa kuwa na uwezo wa kufanya kazi ku...
Tazama MaelezoMchoraji wa Majengo
WaziTunatafuta mchoraji wa majengo kwa ajili ya mradi wa kupaka rangi majengo ya biashara. Anapaswa kuwa na ujuzi wa kuchagu...
Tazama MaelezoWelder wa Mageti
WaziTunatafuta welder mwenye ujuzi wa kutengeneza mageti ya chuma, madirisha na milango ya chuma. Anapaswa kuwa na uwezo wa...
Tazama MaelezoFundi Umeme wa Viwanda
WaziTunatafuta fundi umeme wa viwanda kwa ajili ya matengenezo ya mashine na vifaa vya umeme katika kiwanda. Anapaswa kuwa n...
Tazama Maelezo