ChamaLink Logo ChamaLink Chama cha Mafundi Tanzania
Menu
Wazi

Fundi Umeme wa Viwanda

Eneo Dar es Salaam
Tawi Mwanza
Taaluma Electrician
Mwisho 04/10/2026
Nafasi 1

Maelezo ya Kazi

Tunatafuta fundi umeme wa viwanda kwa ajili ya matengenezo ya mashine na vifaa vya umeme katika kiwanda. Anapaswa kuwa na ujuzi wa kufanya kazi na voltage ya juu.

Mahitaji

Uzoefu wa miaka 5 au zaidi, cheti cha umeme wa viwanda, ujuzi wa usalama

Omba Kazi Hii

Ingia Kuomba