Kuunganisha Umeme |
ChamaLink ni jukwaa la kidigitali linalowaunganisha mafundi waliojisajili na wateja wanaohitaji huduma zao.
Mipango ya Uanachama
Chagua mpango unaofaa mahitaji yako
Mwanachama Kamili
Mwanachama kamili mwenye haki zote
- Kitambulisho cha Digitali
- Fursa za Kazi
- Huduma za Uthibitisho
- Mipango ya Mafunzo
- Msaada wa Tawi
Mwanachama Msaidizi
Mwanachama msaidizi
- Kitambulisho cha Digitali
- Fursa za Kazi
- Huduma za Uthibitisho
- Mipango ya Mafunzo
- Msaada wa Tawi
Mwanafunzi
Mwanafunzi anayejifunza ufundi
- Kitambulisho cha Digitali
- Fursa za Kazi
- Huduma za Uthibitisho
- Mipango ya Mafunzo
- Msaada wa Tawi
Test Chama
Uachana jaribio
- Kitambulisho cha Digitali
- Fursa za Kazi
- Huduma za Uthibitisho
- Mipango ya Mafunzo
- Msaada wa Tawi
Huduma Zetu
Tunatoa huduma mbalimbali kwa wanachama wetu
Uanachama
Jiunge na chama chetu na upate kitambulisho cha digitali, fursa za kazi, na mafunzo.
Jiunge Sasa →Umeme
Pata mafundi umeme waliojisajili na kuthibitishwa kwa ajili ya kazi zako za umeme.
Tafuta Fundi Umeme →Useremala
Mafundi seremala wa kitaalamu kwa ajili ya samani, milango, na makabati.
Tafuta Seremala →Mabomba
Mafundi mabomba waliojisajili kwa ajili ya ufungaji na matengenezo ya mifumo ya maji.
Tafuta Fundi Mabomba →Uchoraji
Mafundi uchoraji wa kitaalamu kwa ajili ya majengo ya makazi na biashara.
Tafuta Mchoraji →Ufundi Mengine
Welding, useremala, na ufundi mwingine kutoka kwa wataalamu waliojisajili.
Tafuta Mafundi →Kwa Nini ChamaLink?
Faida za kujiunga na chama chetu
Kitambulisho cha Digitali
Pata kitambulisho cha uanachama chenye QR code kinachoweza kuthibitishwa popote.
Fursa za Kazi
Pata taarifa za kazi kutoka kwa wateja na makampuni mbalimbali.
Uthibitisho
Wateja wanaweza kuthibitisha uanachama wako kupitia mfumo wetu.